Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
- Thread starter
-
- #21
Sisi ni bora kuliko hao wazungu unawaona wa maana wanaoana wanaume kwa wanaume kila kukicha!Ndicho wanaume wa bongo mnachowaza hicho hamna kingine acheni tu wazungu watutawale na watudharau haki ya nani
Hilo LA namba za simu nakubali....huwa nawashangaa sana yaan
Fikiria club kama manchester united wawe na mechi mara 4 kwa wiki na mbio zote zile wachezaji wanazofanya uwanjani..Kilometres za kutosha!
🤣🤣🤣🤣🤣 sasa tunatakiwa tuwaze nini mamii?Ndicho wanaume wa bongo mnachowaza hicho hamna kingine acheni tu wazungu watutawale na watudharau haki ya nani
Ukiwa bize kama wazungu wanawake hampendi hamjui mnachopenda ninNdicho wanaume wa bongo mnachowaza hicho hamna kingine acheni tu wazungu watutawale na watudharau haki ya nani
NambieMarianah..
nami nasema tutawaliwe tu maana mianamke ya bongo ukiomba namba tu umeshakua atm mashine anataka akuchune mpaka ubaki mifupa tu
Sisi ni bora kuliko hao wazungu unawaona wa maana wanaoana wanaume kwa wanaume kila kukicha!
Poor mind
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa tunatakiwa tuwaze nini mamii?
Kwahiyo hapo unahisi unakuwa umefanya jambo la maana si eti? Yaani wanaume wa bongo na roho zenu hizo bado mnataka muonewe huruma na wanawake? Acheni tu yanayowakuta yawakute kwa kweliChamsingi unakua na stock kama ya 5 au 6 hivi unawafukuzia na ukiingia kitaa kwenye mizunguko unaongeza tu matarakimu hauwezi kuona usumbufu pia we jifanye fala siku unakuja kumla unaanza kuota mapembe unabaki kutumiwa message za "Sikutegemea uwe upo hivi? Nilijua upo tofauti" halafu na wewe unazisoma hauzijibu
Ukiwa bize kama wazungu wanawake hampendi hamjui mnachopenda nin
😆 vipo ila hicho ndio cha muhimu zaidi.Muwazage na vitu vingine jamani kha
Hii ishu ya namba mi ndo inanikera sana....unakuta kweli amekupa namba kwa ustaarabu kabisa wala hujamlazimisha...ila sasa ukianza mtafuta ana-blue tick tu.... mkikutana mjini anakuchangamkia kabisa na anasema ubusy unamsumbua, ukimcheki kwa simu maringo! Ukimpotezea analalamika kuwa umemchunia...kwa kweli hawaelewekiWanawake hawaileweki wanataka nini hasa maishani!na ukiona umeanza kuwaelewa basi ujue unakaribia kufa!
Akiwa na mwanaume tajiri atataka maskini na akipata maskini atataka tajiri!
Halafu visichana ndio pasua kichwa kabisa!utakuta namba kamekupa chenyewe Instagram tena kwa hiari yake kabisa DM ukimcheki WhatsApp Mara a respond Mara anajibu baada ya masaa 4,sasa kama haupo interested unatoa namba ya nini!?
Hivi hamjui Tecno hazichelewi kujaa!memory full
Foolish
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndicho wanaume wa bongo mnachowaza hicho hamna kingine acheni tu wazungu watutawale na watudharau haki ya nani
[emoji38] vipo ila hicho ndio cha muhimu zaidi.
Walitutawala toka kitambo toka hatujawa na mawazo hayo we ni Nani wa kubadilishaNdicho wanaume wa bongo mnachowaza hicho hamna kingine acheni tu wazungu watutawale na watudharau haki ya nani
Walitutawala toka kitambo toka hatujawa na mawazo hayo we ni Nani wa kubadilisha
Waache watu wawaze
Hainaga kufeli, makamuzi ni yale yale babaake 😂Mkishakiweka cha muhimu kuliko vyote ndipo mnapofeli
Hainaga kufeli, makamuzi ni yale yale babaake [emoji23]