Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

Oohh so you mean that women are the ones who should tolerate men's imperfections but men should not tolerate women's imperfections isn't it?
 
Mimi ndiyo niwaonee huruma? Waambieni hao wanawake zenu!
"Dunia hii Mama lukumba lukumba, dunia ina mwendo kama wa ngamia" huijui kesho yake hata nawe unaweza kuwa Mama wa watoto wangu, so jijumuishe kunuonea huruma tafadhali Mama [emoji1]
 
Kuna kamoja humu kalikuwa kanatafuta mwenyeji mikoa tofauti tofauti. Nikakafata pm kakanipa namba ili kakija nikape kampan yahapa napale nanikapunguzie gharama ila kila nikikatext kanajibu sms yamasaa mengi kupita nikaamua nikachunie nahata kalipojibu nikanyuti.
 
Oohh so you mean that women are the ones who should tolerate men's imperfections but men should not tolerate women's imperfections isn't it?
Women are very cheap to mistaken Men WHILE are very difficult to forgive Men and vise versa is true to Men.

This is due to reality that Women are so merciful which catalyzes them to be easily cheated at any issues by been convinced either by goodness or badness.

This is why Satan followed Woman at Eden garden to convince her and Ever intered to sin, in short meaning Women can't even forgive at themselves though physically might be seen to accept her woman/women fellow or relatives imperfections but in the dippest soul points are not forgetting.

That's is how the world is and the only God can himself know why he created us at that various factors between Men and Women.
 
Ah wanaume wa kibongo mmezidi aisee yaani kwa wanaume wa bongo heshima siyo kutafuta pesa nyingi ila ni kugegeda wanawake wengi! SMH!
😂😂😂😂😂😂 lazma uwe rijali kisha ndio uwe na pesa..Ndio shina la maisha yenye utamu mpaka Tindini.
 
Weeh Mungu alimpa Adam kila kitu ndipo akampa Evah sasa leo hii wanaume mnataka kuanza kumiliki wanawake kabla ya kumiliki mali na ndiyo maana mnafeli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazma uwe rijali kisha ndio uwe na pesa..Ndio shina la maisha yenye utamu mpaka Tindini.
 
Weeh Mungu alimpa Adam kila kitu ndipo akampa Evah sasa leo hii wanaume mnataka kuanza kumiliki wanawake kabla ya kumiliki mali na ndiyo maana mnafeli
Hahahahah,,,kwahio unatakaje mama, tuishi maisha ya Eden leo?

Mlitaka 50/50 ndio hivyo tena kaeni kwa pattern.
 
Pole sana.. ukiona umepewa number ujue kuna wengine wengi nao wamepewa number kama wewe...

Zamu yako ikifika atakujibu...


Cc: mahondaw
 
Inategemea na aina ya mwanamke. Mimi tangu nimemuelewa mama kijacho wangu Marianah sijawahi kukwama kwenye lolote.
 
Weeh Mungu alimpa Adam kila kitu ndipo akampa Evah sasa leo hii wanaume mnataka kuanza kumiliki wanawake kabla ya kumiliki mali na ndiyo maana mnafeli
Watu wengi waliofanikiwa wameanza pamoja kutafuta, ASA wanawake wa Leo mnataka kukuta mwanaume tayar ana Mali ndo maana mnaishia kuwa michepuko

Kama mwanaume ntamuheshimu mwanamke niliochuma nae, tofaur na yule aliyenikuta na Mali tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…