Wewe unapenda hela tu, huvutiwi na kingine zaidi ya hicho kwa mwanaume its very risky kujenga maisha na mtu wa aina hio maana siku zikipungua tu ujue ni masimango, gubu tu na kunyimwa unyumba huku hutaki usalitiwe. Wanawake wa aina yako ndio mnaongoza kwa vilio maana wepesi sana kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa. Tutaendelea kuwaonjesha karanga kama ilivyo ada, unakula pesa kidogo ukivua chupi imeisha hio. On to the next one...Hapana mkuu hapo nimejiongelea mimi tu sijawaongelea wanawake wote wapo wanawake ambao wanaweza kuishi na wanaume masikini ili mradi tu wawe na nguvu za kiume
Na hao wanawake kwangu mimi naona kama vile ni wale ambao wanapenda sana ngono yaani kwao ngono ndiyo kipaumbele kuliko kitu kingine chochote binadamu tunatofautiana mitazamo na mahitaji
Mke anatakiwa afanye yake kama mke, mie nitafanya yangu kama mume. Kazi za ndani mtu akijiskia anakusaidia tu. Inategemea unamridhisha kwa kiwango gani.Hiyo 50/50 mbona mnaitaka kwenye kutafuta pesa tu hamuitaki na kwenye kufanya kazi za ndani? Tafuteni tu hamna namna!
Jamaa amekuwa loud and clear...Its like a barter trade! You offer me your pussy i offer you some money.Unamuongelea mke au changudoa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazma uwe rijali kisha ndio uwe na pesa..Ndio shina la maisha yenye utamu mpaka Tindini.
HojaWatu wengi waliofanikiwa wameanza pamoja kutafuta, ASA wanawake wa Leo mnataka kukuta mwanaume tayar ana Mali ndo maana mnaishia kuwa michepuko
Kama mwanaume ntamuheshimu mwanamke niliochuma nae, tofaur na yule aliyenikuta na Mali tayari
Hahaaa umepiga pentagon point Bosi [emoji28]Wewe unapenda hela tu, huvutiwi na kingine zaidi ya hicho kwa mwanaume its very risky kujenga maisha na mtu wa aina hio maana siku zikipungua tu ujue ni masimango, gubu tu na kunyimwa unyumba huku hutaki usalitiwe. Wanawake wa aina yako ndio mnaongoza kwa vilio maana wepesi sana kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa. Tutaendelea kuwaonjesha karanga kama ilivyo ada, unakula pesa kidogo ukivua chupi imeisha hio. On to the next one...
Jamaa amekuwa loud and clear...Its like a barter trade! You offer me your pussy i offer you some money.
Wanawake wengi sikuhizi ni malaya tu tofauti ni kuwa hawajipangi barabarani kama wale tuliowazoea kona bar au uwanja wa fisi na kimboka. Kama huwezi vua chupi hadi ulipwe au uone kibunda kuna tofauti gani sasa. Halafu ndio unajitia umekufa umeoza, waiii!!!
hakuna kitu kinaitwa kuwachezea wadada kwani wao ni mipira its just life??Hivi kwani mkiishi tu bila kuwachezea wanawake mnakuwa mmeloose nini?
mwisho wa siku anaanza kugawa kwa mtu anayeweza kumpa pesa ndio mwisho wao maana hiyo raha haitadumu kwa miaka mitatuHapana mkuu hapo nimejiongelea mimi tu sijawaongelea wanawake wote wapo wanawake ambao wanaweza kuishi na wanaume masikini ili mradi tu wawe na nguvu za kiume
Na hao wanawake kwangu mimi naona kama vile ni wale ambao wanapenda sana ngono yaani kwao ngono ndiyo kipaumbele kuliko kitu kingine chochote binadamu tunatofautiana mitazamo na mahitaji
Sio sababu, kuachwa inategemea na kiwango cha adabu ulichonacho kwa mumeo au mwanaume wako. Ukiona umeachwa ujue kero zimezidi.
Wewe unapenda hela tu, huvutiwi na kingine zaidi ya hicho kwa mwanaume its very risky kujenga maisha na mtu wa aina hio maana siku zikipungua tu ujue ni masimango, gubu tu na kunyimwa unyumba huku hutaki usalitiwe. Wanawake wa aina yako ndio mnaongoza kwa vilio maana wepesi sana kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa. Tutaendelea kuwaonjesha karanga kama ilivyo ada, unakula pesa kidogo ukivua chupi imeisha hio. On to the next one...
Mke anatakiwa afanye yake kama mke, mie nitafanya yangu kama mume. Kazi za ndani mtu akijiskia anakusaidia tu. Inategemea unamridhisha kwa kiwango gani.
Amani sana baharia wangu, mzinga usiwepo kabisa na aongeze kuvua walau mara tanoMwanamke akiwa ananivulia pichu angalau Mara 4 kwa wiki na mizinga ikawa sio ya mwendo kasi tutadumu angalau
Wewe unadhani ni kwanini wanawake wamefikia hatua hiyo?Jamaa amekuwa loud and clear...Its like a barter trade! You offer me your pussy i offer you some money.
Wanawake wengi sikuhizi ni malaya tu tofauti ni kuwa hawajipangi barabarani kama wale tuliowazoea kona bar au uwanja wa fisi na kimboka. Kama huwezi vua chupi hadi ulipwe au uone kibunda kuna tofauti gani sasa. Halafu ndio unajitia umekufa umeoza, waiii!!!
mkuu, we mjibu karibu tuchome mahindi[emoji41][emoji41]Chamsingi unakua na stock kama ya 5 au 6 hivi unawafukuzia na ukiingia kitaa kwenye mizunguko unaongeza tu matarakimu hauwezi kuona usumbufu pia we jifanye fala siku unakuja kumla unaanza kuota mapembe unabaki kutumiwa message za "Sikutegemea uwe upo hivi? Nilijua upo tofauti" halafu na wewe unazisoma hauzijibu
Mnawachezea ndiyo maana mkitoka hapo mnaanza kuwadharau mngekuwa hamuwadharau hapo ndiyo tungesema kweli hamuwachezeihakuna kitu kinaitwa kuwachezea wadada kwani wao ni mipira its just life??
Wewe unawaza nini?Ndicho wanaume wa bongo mnachowaza hicho hamna kingine acheni tu wazungu watutawale na watudharau haki ya nani
Habari ndiyo hiyo yaani ni hatari mwanamke kupenda sana ngonomwisho wa siku anaanza kugawa kwa mtu anayeweza kumpa pesa ndio mwisho wao maana hiyo raha haitadumu kwa miaka mitatu