ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,922
- 3,916
Mimi binafisi namchukia mwanamke nikimtingoza anitangulizie matatizo yake. Ndiyo napenda kulea na kuwajibika kama baba, why nakutongoza tu unataka nikuhudumie hapo hapo?Hivi kati ya wanaume na wanawake ni kina nani wanapenda barter trade?
Swala siyo kuamini bali tunauangazia ukweri, wanawake wengi wasema hivyo.Kwani wewe usipoamini ndiyo itabadilisha ukweli? Pole!
Kutokana na majibu yako, ushawahi umizwaaa, thus why you hate men hata uliyenae unazuga nae tu but mambo si shwari
I concluded conlusively ushaumizwa mdada wa watu, mapenzi noma sana.
Hilo swali nikuulize wewe siyo mimi maana wewe ndiyo uliyesemaWhy you hate them, what tabia za umalaya zinategemea man and woman?.
Tunajadiriana kutoka kwenye uharisia. Ulimwengu wa sasa umetawaliwa sana na fake life, tupo kwenye uharisia. Mimi pia hapa ninamke nimeoa but nawe umeolewa basi tuzungumzie uharisia siyo hoja za kufikrika. Are you happy with your marriage?Haha yaani wanaume wa JF mkiona mmebanwa na mmeshindwa kwa hoja huwa mnahamia kwenye maisha halisi ya watu sasa tena mnalazimisha kabisa yawe kama mnavyoamini ninyi mimi hizo kauli nimeshazizoea na wala hazinitetereshi kuongea ukweli kwahiyo vipi sasa unakuja na hoja au unaendelea kuotea mimi ni mtu wa aina gani? Hahahaha!
Kwa sababu mwanamke anakuwa ameshajua kuwa umemtongoza ili tu upige na kusepa lakini hauna malengo naye hivyo kabla haujapiga na kusepa na yeye lazima aambulie kituMimi binafisi namchukia mwanamke nikimtingoza anitangulizie matatizo yake. Ndiyo napenda kulea na kuwajibika kama baba, why nakutongoza tu unataka nikuhudumie hapo hapo?
Swala siyo kuamini bali tunauangazia ukweri, wanawake wengi wasema hivyo.
Tahadhari yako ni kama vile uliwahi kufa, ukafufuka na sasa unatusimulia uliyoyaona ulipokuwa unakaribia kufa.Wanawake hawaeleweki wanataka nini hasa maishani,ukiona umeanza kuwaelewa basi ujue unakaribia kufa..
Akiwa na mwanaume tajiri atataka maskini na akipata maskini atataka tajiri
Halafu visichana ndio pasua kichwa kabisa,utakuta namba kamekupa chenyewe Instagram tena kwa hiari yake kabisa DM ukimcheki Whatsapp Mara hajibu akijibu anajibu baada ya masaa 4,sasa kama haujisikii unatoa namba ya nini?
Hivi hamjui Teckno hazichelewi kujaa!memori kadi.
Tatizo lako hautaki kuambiwa ukweli ila unataka kuambiwa kile unachotaka kusikia kule juu kuna comment nilishamsifia mume wangu ukanibishia sasa unataka nikwambie nini tena? Nikwambie napigwa ili tu macho yako yafurahi kusoma hiyo comment? Ulivyo wewe kwa mke wako sivyo kila mwanaume alivyo kwa mke wake sasa wewe ndiyo useme unataka kuambiwa ukweli au unataka kuambiwa kile unachotaka kusikia tu?Tunajadiriana kutoka kwenye uharisia. Ulimwengu wa sasa umetawaliwa sana na fake life, tupo kwenye uharisia. Mimi pia hapa ninamke nimeoa but nawe umeolewa basi tuzungumzie uharisia siyo hoja za kufikrika. Are you happy with your marriage?
Ndicho kinachokufurahisha masikini pole nimegundua wanaume wengi wa JF faraja yenu ni kulazimisha kuwa wanawake wanaowaambia ukweli ni either wameumizwa au wananyanyaswa haki JF has taught me a lot more about most African men hhmm next
Kwa sababu mwanamke anakuwa ameshajua kuwa umemtongoza ili tu upige na kusepa lakini hauna malengo naye hivyo kabla haujapiga na kusepa na yeye lazima aambulie kitu
Wa mahusianoUnauangazia ukweli upi?
Tatizo lako hautaki kuambiwa ukweli ila unataka kuambiwa kile unachotaka kusikia kule juu kuna comment nilishamsifia mume wangu ukanibishia sasa unataka nikwambie nini tena? Nikwambie napigwa ili tu macho yako yafurahi kusoma hiyo comment? Ulivyo wewe kwa mke wako sivyo kila mwanaume alivyo kwa mke wake sasa wewe ndiyo useme unataka kuambiwa ukweli au unataka kuambiwa kile unachotaka kusikia tu?
Bongo:Mimi nafahamu wanawake wengi walioumizwa hawasemi kweri na wala hawana hisia, na ninawaheshimu sana wanawake because are very good almost in everthing in our life. But nachukia sana mimi nikikutonfonza ukanikubali kisha ukanishushia bili ya matatizo yako. Yes I am man nahitaji muda wa kufikia kutake over control ya mahitaji yako.
Hahahhaha. Kama nia ndiyo hii wapo sahii, na maana yake anauza. But why usimukatae tu siyo kumkubali na kutaka pesa hapo hapo. Is that business?
Ya kwako?Wa mahusiano
Mimi sipigi mke wangu, mke wangu ni zawadi kubwa sana katika maisha yangu na ninalea na kumpetipeti kuliko kifani. Mke wangu anasikia tu story za manyanyaso kwa wanandoa na huwa ananiambia hayo mambo ni yakufikrika tu maana yeye kwenye maisha yake anayasikia tu.
Bado yupo haiAtakuwa amesha rest in peace huyo mkuu! Hahaaa
Bongo:
Mwanaume mwenye wanawake wengi ni kidume ila Mwanamke mwenye wanaume wengi ni malaya
Mwanaume akichelewa kuoa hajajipanga ila Mwanamke akichelewa kuolewa anadanga
Mwanaume akizaa kabla ya ndoa bahati mbaya ila Mwanamke akizaa kabla ya ndoa ni makusudi
Mwanaume akichepuka siyo kosa lake ila Mwanamke akichepuka ni kosa lake
Niambie kwa kejeli na dharau hizo kutoka kwa wanaume mnataka wanawake wafanyaje kama wanaume wenyewe ndiyo ninyi mkitongoza mkakubaliwa baada ya hapo mnakuja na kauli kama hizo mnataka wanawake wafanyaje kwa mfano?