Ukiona viashiria hivi ndugu yangu kimbia ama usiguse kabisa

Ukiona viashiria hivi ndugu yangu kimbia ama usiguse kabisa

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
1. Ukiona mdada mzuri sana mtaan au uswahili anafanya kazi haieleweki ama kazi ya kuumiza au kuungua sana na jua. Jiulize maswali mengi sana wengi wanakua ni lost souls either kaungua ama alipata tukio kubwa sana yaani huyo kaamua sasa kutulia

2. Ukiona mdada mzuri mwenye vigezo vyote na umri umeenda hajaolewa ndugu yangu hapo kimbia huyo kuna uwezekano ni jeuri na hawezi ishi na mwanaume

3. Ukiona mdada hafanyi kazi yoyote yaani hana chochote cha kumuingizia kipato ila status zake na page yake ya instagrm imejaa picha nzuri na safari mara Mwanza mara Arusha etc kimbia fasta tena akiwa na mtoto ndo balaa zaidi

4. Ukikutana na mtoto wa kike mwenye vigezo vyote anajitongozesha kimbia haraka sana

5. Ukikuta mdada mzuri sana yuko kwenye biashara fulani either duka au mgahawa au bar wale wa kaunta aisee hawa 100% wanaliwa na ma boss waliowaweka...tena wengn ni michepuko yao ya zaman..hil hata mim nmelifanya

Ntaendelea siku nyingne well kwa wanaume sjachunguza so msiniambie mbona nyi hamjajiongelea.

Well ndio sjajiongelea

Uzi tayari..

Niko mkoan huku nmekuja mara moja kuna vumbi sana mim mtoto wa makala sjazoea kabisa napata tabu sana macho
 
Kwa maana rahisi Unataka kutuambia tusiwe na mademu ua!? Halafu ukimaliza kuwachambua uje na uzi mwingine wa kumpata mtu perfect
Inamana unataka nambie nje ya hao huwez pata mwanamke..

Mim nmeku alert tu
 
dizaini hii ukito+mbana naye vaa ndom 3, utanishukuru baadae
Mkuu utavaa ndomu 5 lkn utapiga denda..... Au kama ni relationship ya muda mrefu itafika muda mtaacha mipira.

Hii kitu ni ya msingi sana[emoji116]


811483652.jpg
 
Acha woga wewe hayana formula hayo.

Kama ulikua hujui hamna watu ambao wako makini na afya zao kama hao unaowatuhuku kwa kugawa.

Ila huyo kimbulu unaemuamini kwa kwenda sana kanisani na kuvaa maguo marefu ndo atakupa ngoma sasa.
 
Mkuu utavaa ndomu 5 lkn utapiga denda..... Au kama ni relationship ya muda mrefu itafika muda mtaacha mipira.

Hii kitu ni ya msingi sana[emoji116]


View attachment 2006667
nilishafanya sana huu ujinga, nilikuwa nasafiri navyo ivi vitu na nikifika popote nachukua yeyote tunapima kwanza wote. nikaja kugundua kwamba, ni dharau sana kwa Mungu kuogopa ukimwi na kufanya zinaa wakati Mungu anakuona. manake unamwambia Mungu sikuogopi wewe naogopa ngoma tu. unamkasirisha sana Mungu. pia jua kwamba, virusi sometimes huwa havionekani mapema, inaweza kuwa negativu kumbe ....., cha muhimu kufanya, mwogopeni Mungu zaidi kuliko ngoma, unapofanya uzinzi jua kabisa Mungu anakuona, unapojifanya unajiokoa maisha yako kwa kuvaa ndomu au kupima kwanza Mungu anakuona na anakushangaa sana kwasababu kuna hatari nyingi anakuokoa nazo mbaya kuliko hata hiyo ngoma ambayo unaweza kusavaivu siku kadhaa kwa kunywa vidonge. Mwogope Mungu anayeona sirini kule kule chumbani uliko kuliko wanadamu au magonjwa. Mungu akikuacha au akiamua kukuadhibu ni hatari kuliko kupata ngoma.
 
Mkuu utavaa ndomu 5 lkn utapiga denda..... Au kama ni relationship ya muda mrefu itafika muda mtaacha mipira.

Hii kitu ni ya msingi sana[emoji116]


View attachment 2006667
Bora mkapime kituo cha afya au mtumie kinga kama ni kimasihara.

Haya umetoka zako huko safari njian umeopoa pisi purukushani za usafiri hadi kufika lodge kupumzika ni saa 5 usiku mnapimana ili mlale vzuri unakuta mmoja kawaka tena mfano ndio wewe mwanaume😂😂
Hapo itakuaje sasa
 
Back
Top Bottom