Ukiona viashiria hivi ndugu yangu kimbia ama usiguse kabisa

Kwahiyo sisi wa wadada wenye hivo hizo sifa tufanyeje ili kusovu tatizo sasa!!??? Unatushaurije ndugu Mtoa mada??[emoji15]
 
Critical broo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hizi habari za kujipima Pima ipo siku unachokitafuta utakipata
 
Are you a dude or dudette?
 
Kwahiyo sisi wa wadada wenye hivo hizo sifa tufanyeje ili kusovu tatizo sasa!!??? Unatushaurije ndugu Mtoa mada??[emoji15]
Hakuna cha kuwashaur..ni kupambana tu na nyinyi
 
Kuna kitu unakiacha ukikikumbuka nina uhakika utakuja kupukutisha hii thread ibaki title tu
 
Nitauprint huu ujumbe,nitaulaminate kisha nitaubandika ukutani geto na ofisini....
Ni kweli tunatumia sana akili za kibinadamu ili kusurvive na majanga,,
Hebu angalia waliojiwekea ulinzi mkubwa wa mageti,ukuta,walinzi na hata mabodyguard ila wanakufa kwa ajali..
Wapo alio fanya party baada kupima na kujikuta hawana ngoma ila wakajikuta kwenye mtego kwenye hiyo party na wakaambukizwa.....
Wapo innocently walioambukizwa makusudi..
Bado kampeni za dunia..
Na mengine mengi tu...
Kikubwa ni kumshukuru MUNGU kwa kila jambo..
 
Na watu wote tuseme amen kwa comment nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…