Kaunga uko juu sana.........sikupenda kuangalia upande wa pili wa shilingi kwa sababu zilizodhahiri..........msije mkalalama ya kuwa mwamba ngoma huvutia kwake............. Kaunga
sijawai...weye smile acha uongo..wadai hujawahi kutongozwa?....sasa hujui nini?@smile
hahahaaa poleni sana..
Lakini pia tunaambiwa ''jenga chako chamwenzio fanya mradi'', hivyo japo vimeundwa tusiogope sana maana mitaji yetu hipo hapo.
Waambie hao, watu wanataka wadada wa ukwehe wakati hawajui kuhudumia, wenzao wanahudumia wenyewe udenda unawadondoka.
Jifunzeni kuunda vyenu msitamani vinavyoelea.
mpendwa Ruta,
kwa kweli siku hizi nakuheshimu!
si kuwa huko nyuma nilikuwa sikuheshimu, la hasha. bali naaprerciate mada zako za karibuni. zimebadilika fani na pia maudhui. unaandika kishairi zaidi, lakini ujumbe mzito.
samahani, mwenzio niko shuleni na wkati huu nimebanwa sana na huwa naishia kusoma tuna na kushindwa klchangia. nisamehe sana mpendwa, ni upepo tu na utapita! na ukishapita nakuahidi kuwa nitakuwa mchangiaji mzuroi tu mpendwa.
Mungu akubariki sana
Glory to God!
[h=2][/h]Umenikumbusha Rostam Aziz alipowaaga wazee wa Igunga:
"Wazee wangu, Waswahili wanasema usione vyaelea, vimeundwa."
Source: Tathmini - ROSTAM AZIZ - "Uamuzi wangu wa kuachia nafasi zangu zote za uongozi nilizopata kwa tiketi ya CCM"
mmh ,ilo nalo neno,, ila na mm pia sijui, hili suala n la men
Kwa haya mashairi nadhani RUTA mwenyewe ndo NGOSWE..... Au haijakutokea kaka?????
NOTE: Hawa wa siku hizi hata kama wana mwenyewe huwa wanaelewa kimtindo... Jamaa tu hakutema madini stahiki.