Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
Ruta ukweli uko juu naona unashuka mistari kama vile upo ndotoni, kama mwendo utaendelea kuwa hivi naona itabidi tukupe tafu utoe albamu.
...tehee!!
ukiona vyaelea ujue ni vyepesi na vina uwazi ndani.
sijawai...
ummu kulthum.................sababu huzijui wewe.penye ushawishi lazima kuna kujigonga...ummu kulthumdah ila wanaume penda penda sana nyie ndio maana kuna post za kutedwa kibao af hamkomi ivi kwa nn?
hivi hakuna vinavyoelea ambavyo vimejiunda?
Kweli ukiona vyaelela ujue vimeundwa...hapo kwenye red binafsi huwa nafikiria sana halafu napotezea, naamua kusifu uumbaji. ni changamoto sana hasa kwa sisi tunaofanya kazi kwenye ofisi zenu watu wengi kwasababu kuna wa kila aina. Ni maua ya Mwenyezi Mungu acha yapendeze na kung'aa.
mpaka utakapofumaniwa ndiyo utajua kumbe siyo vyepesi hata chembe.........[MENTION]@babkey[/MENTION]
..ooh...oooh!!