Hii tafakari kubwa.
Vyombo vya usalama katika nchi yoyote ile ni kulinda uhai wa nchi na uhai wa nchi ni pamoja na rasilimali za nchi husika.
Sasa ukiona vyombo vya usalama tena katika nchi isiyo na vita wanakua busy kusimamia uchaguzi mkuu na kusimamia mitihani ya shule ya msingi na sekondari ujue tayari kuna shida mahali.
Itajitokeza mijadala ya rasilimali za nchi wao wako kimya ujue tu tatizo lipo.
Hasa rasilimali ambazo ni uhai wa nchi zitatunzwa na nani?