Ukiona wamevaa lebasi za ulimbwende ujue kuna jambo!

Huyo kijana wako wa lift namtegeshea ndoa ya mkeka, wewe subiri tu....................................
Shauri yako baba,
Hivi unajua km jamaa mwenyewe ni baunsa??!!
Aolewe nani,mie bado mdogo labda km unaitaka jela!
 
Shauri yako baba,
Hivi unajua km jamaa mwenyewe ni baunsa??!!
Aolewe nani,mie bado mdogo labda km unaitaka jela!
Kumbe anaitwa baunsa eh! na hivi bado unasoma, namtafutia namna ya kumfungulia kesi ya kumpa lifti binti wa mtu bila idhini ya mzazi..................Lazima nimfunge tu.......................
 
Kumbe anaitwa baunsa eh! na hivi bado unasoma, namtafutia namna ya kumfungulia kesi ya kumpa lifti binti wa mtu bila idhini ya mzazi..................Lazima nimfunge tu.......................
Baba njaa yako ya pesa hiyo itakutokea puan!
Baunsa sio jina lake ni kazi yake sasa km unataka kukumbukia yalokukuta enzi zile ulipokua unamuiga bruc lii,kwa kulia km nyau kuwatishia wale mabaunsa wakakusulu,Chezeiya!!!!!
 
Sasa tusiovaa "Lebasi za ulimbwende" na kila mara aina ya mavazi ni ile ile inakuwaje? Hatuna hizo 'hatari days'?

Lazima kutakua na namna mnatenda bila kujua ili kuwavuta madume waweze kuwapanda!
 
mmh, it looks paradoxical...so kama huna mpango wa kumtia mimba wife/galfriend, kwepa siku ambazo kajiremba/kajipodoa na kutupia pamba zenye mvuto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…