Siyo Tundu lissu wala Mbowe sasa wote wapo kimya hali shwaaari!
Walituaminisha Serikali inafuja pesa kujenga miundombinu, walituaminisha bwawa LA nyerere siyo kipaumbele, walituaminisha utawala awamu ya tano hautoi huduma mhimu kwa wananchi!
Sasa tangu utawala wa awamu ya Sita uwashike mkono wameufyata kimyaa!
Nchi haina maji wapo kimyaaa, nchi iko gizani wapo kimyaaa!
Lakini mambo kama haya yangetokea katika utawala wa Magufuli wangeongea sana na maandiko ya kinafiki kwenye bibilia wangenukuu!
Hakika ukiona wanasiasa wa upinzani wanapiga kelele kubwa! Unga juhudi maana serikali ya namna hiyo huwa inagusa wananchi maslahi yao bila kutumia madalali wa upinzani!