Ukiona wote mnafanya biashara inayofanana sehemu moja kubali haya...

Ukiona wote mnafanya biashara inayofanana sehemu moja kubali haya...

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Hizi biashara zetu ijalishi ni biashara gani!

Ila biashara ukiona mnafanya zinafanana na wote mpo eneo moja au soko lenu lipo sehemu mmoja, kubali haya:

• Chuki
• Wivu wa wateja, masoko, kuuza
• Ushirikina
• Kuchongeana kwenye taasisi TRA au idara mbalimbali
• Fitina za kibiashara nyingi kama kashfa

Mimi nilizo nazijua ni hizi
 
Mimi nilizo nazijua ni hizi !
 
Labda uswazi. Nenda kariakoo, au Makumbusho kwenye maduka ya simu utabloo
 
Labda uswazi....nenda kariakoo, au makumbusho kwenye maduka ya simu utabloo
Huko ndiko dunia ya washirikina na walozi never ever happen...km unataka pepo usiende kufanya biashara huko ....
 
Umakuta mtu anakutafuta kwenye kupandisha bei kushusha mtu hakwambii unakuja kushituka wiki saizi na staili yangu ukishusha na shusha zaidi
 
Back
Top Bottom