chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Sep 8, 2021 #1 Hizi biashara zetu ijalishi ni biashara gani! Ila biashara ukiona mnafanya zinafanana na wote mpo eneo moja au soko lenu lipo sehemu mmoja, kubali haya: • Chuki • Wivu wa wateja, masoko, kuuza • Ushirikina • Kuchongeana kwenye taasisi TRA au idara mbalimbali • Fitina za kibiashara nyingi kama kashfa Mimi nilizo nazijua ni hizi
Hizi biashara zetu ijalishi ni biashara gani! Ila biashara ukiona mnafanya zinafanana na wote mpo eneo moja au soko lenu lipo sehemu mmoja, kubali haya: • Chuki • Wivu wa wateja, masoko, kuuza • Ushirikina • Kuchongeana kwenye taasisi TRA au idara mbalimbali • Fitina za kibiashara nyingi kama kashfa Mimi nilizo nazijua ni hizi
chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Sep 8, 2021 Thread starter #2 Hizi biashara zetu ijalishi ni biashara gani! Ila biashara ukiona mnafanya zinafanana na wote mpo eneo moja au soko lenu lipo sehemu mmoja, kubali haya: • Chuki • Wivu wa wateja, masoko, kuuza • Ushirikina • Kuchongeana kwenye taasisi TRA au idara mbalimbali • Fitina za kibiashara nyingi kama kashfa Mimi nilizo nazijua ni hizi !
Hizi biashara zetu ijalishi ni biashara gani! Ila biashara ukiona mnafanya zinafanana na wote mpo eneo moja au soko lenu lipo sehemu mmoja, kubali haya: • Chuki • Wivu wa wateja, masoko, kuuza • Ushirikina • Kuchongeana kwenye taasisi TRA au idara mbalimbali • Fitina za kibiashara nyingi kama kashfa Mimi nilizo nazijua ni hizi !
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Sep 8, 2021 #3 Naishi nazo hizo hali ila kwa neema za Mwenyezi Mungu nitafanikiwa.
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,311 Reaction score 15,640 Sep 8, 2021 #4 Labda uswazi. Nenda kariakoo, au Makumbusho kwenye maduka ya simu utabloo
M Malcom Sr JF-Expert Member Joined Apr 17, 2021 Posts 1,163 Reaction score 1,647 Sep 8, 2021 #5 maroon7 said: Labda uswazi....nenda kariakoo, au makumbusho kwenye maduka ya simu utabloo Click to expand... Huko ndiko dunia ya washirikina na walozi never ever happen...km unataka pepo usiende kufanya biashara huko ....
maroon7 said: Labda uswazi....nenda kariakoo, au makumbusho kwenye maduka ya simu utabloo Click to expand... Huko ndiko dunia ya washirikina na walozi never ever happen...km unataka pepo usiende kufanya biashara huko ....
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Sep 8, 2021 #6 Pia mnaweza kushirikiana na wote mkatoka.
Zombi Mweusi JF-Expert Member Joined Feb 9, 2017 Posts 841 Reaction score 1,755 Sep 8, 2021 #7 Umakuta mtu anakutafuta kwenye kupandisha bei kushusha mtu hakwambii unakuja kushituka wiki saizi na staili yangu ukishusha na shusha zaidi
Umakuta mtu anakutafuta kwenye kupandisha bei kushusha mtu hakwambii unakuja kushituka wiki saizi na staili yangu ukishusha na shusha zaidi