Ukiona Yanga wanakimbilia kusaidia yatima ujue gemu yao imewakalia vibaya

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
 
Rage kuwaita mashabiki wa simba ni mbumbumbu alikuwa sahihi kabisa sasa huu ni uharo gani tena umeuleta jf?
 
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
Wewe ni pimbi usiejitambua,,kawaambie basi na wao wasaidie ili wawe wanashinda mechi
 
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
Yaani mawazo ya kipuuzi hayawezi kutoka Kwa Mtu asiye mpuuzi. Kitendo hiki hata Ihefu wanatakiwa kukifanya. Uislamu unahimiza, Ukristo unahimiza kusaidia wasiojiweza, wewe Fala Kwa ushabiki wako unavunja moyo wanaojitoa?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Wakati nipo Kiembe samaki, nikasikia Yanga wapo Tanga kwenye Chuo cha Dini Maareef

Walienda kuwatembelea Wanachuo na kutoa msaada baadhi ya vitu, kwahivyo kusaidia mambo kama hayo, yatima na wasiojiweza..Ni jambo jema kwakweli.

Ni vizuri tukajitenga na mambo ya ushabiki katika haya...!
 
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
Mngeshinda zile mechi zenu mlizofungwa kule mbeya leo hii msingekuwa mnaangaika na Yanga
 
Yanga hii ni jadi Yao Kila wakitembelea mkoa wowote.. Ndio tunajua kuwa unachuki kubwa sana na club ya Yanga japo hujafanywa lolote baya na uongozi wa Yanga Ila so kwa hili.. toa chuki zisizo na msingi zitakuua mapema ndugu yangu
 
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.
Coparate social responsibility.
Soma hii itakupunguzia mzigo kichwani
Upo mbali sana na ukweli
 
Back
Top Bottom