Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Msimu huu Yanga wameingia na gia kali kutoka kwa mganga wao, wengi wanadhani Yanga ina upendo na yatima au Yanga wanarudisha kile wanachokipata kwa Jamii, la hasha, hii ni michezo ya mjini ambayo wanatumwa na wataalamu wao wa kamati ya ufundi, wanapoona gemu inayofuata mwao sio nzuri basi wanakimbilia kwa yatima kuomba baraka, watatoa vijimsaada mbuzi ili wapate baraka, wafuatilieni gemu zote za mkoani lazima watafute yatima wasaidie, mbinu hizi za kitoto wanaozijulia ni Simba tu, Ukichangia damu na wao wanachangia, ukisaidia yatima na wao wanasaidia, timu nyingine zikifanya hivi yanga watakwama sana, kesho Yanga anashinda au anatoka sare, hawezi kufungwa akishasaidia yatima.