Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Ni kichaa tu atakataa! ccm imechukuwa nchi kutoka kwa mkoloni, vitu vyote kuanzia miundombinu, maflyover,mifumo ya umeme, mashule mahospitali, zahanati na madawa, mabohari, mibarabara nchi nzima, mifumo ya kodi na miundombinu ya maji, reli na masoko ya kisasa bila kusahau viwanja vya ndege na mindege yenyewe!
Na viwanja vya michezo nchi nzima, vimeletwa chini ya usimamizi wa CCM, uzi huu ukikuchukiza njoo unipige!
Na viwanja vya michezo nchi nzima, vimeletwa chini ya usimamizi wa CCM, uzi huu ukikuchukiza njoo unipige!