Ukiondoa kikimbia midahalo mbogamboga wana baki na nini?

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
20,419
Reaction score
39,217
Jana sio mara ya kwanza ni uzoefu wa mara nyingi sana mbogamboga kukimbia midahalo ya live.

Kiufupi hawa jamaa ni vilaza wa kutupwa.

Muwe na jpl njema,hakuna ondoleo la dhambi bila damu ya kristo Yesu.
 
Ngoja 2025 ndio mtajua kama mdahalo unapiga na kuhesabu kura
 
Jana sio mara ya kwanza ni uzoefu wa mara nyingi sana mbogamboga kukimbia midahalo ya live.

Kiufupi hawa jamaa ni vilaza wa kutupwa.

Muwe na jpl njema,hakuna ondoleo la dhambi bila damu ya kristo Yesu.
Uki waona huko barabarani na misafara ya ving'ora na mapolisi uta dhani wako vizuri na wana weza kutetea uhalali wao wa kuongoza nchi. Kumbe ni garasha. Kama ile hotuba ya Congo
 
Jana sio mara ya kwanza ni uzoefu wa mara nyingi sana mbogamboga kukimbia midahalo ya live.

Kiufupi hawa jamaa ni vilaza wa kutupwa.

Muwe na jpl njema,hakuna ondoleo la dhambi bila damu ya kristo Yesu.
Chawatozoteka.
 
Tunataka Katiba Mpya ili sharti la midahalo liwepo kikatiba!
Tumechoka kufungashiwa viongozi mithili ya korosho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…