Ukipata ban kipindi hiki JF utakosa mengi. Je, utajisikiaje?

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,348
Reaction score
1,805
Week hii jamiiforums imekuwa na wachangiaji wengi sana, kila mtu yupo makini kupata taarifa muhimu za hapa na pale na episode kadhaa zinazoendelea nchini, matusi hayatakiwi na lugha za kuwaudhi mods ukipigwa ban utakosa mengi, ban ikiisha inshu ya madawa nayo itakuwa ishaishaaa kuwa makini ili hii movie uenjoy.
 
Jukwaa la siasa. Naenda kwa mwaka mara 2
 
Ukipigwa ban ndo unafanywaje? Elimu ya suala hili jamani!
 
Niko Makini sana kipindi hiki Kama alivyokuwa Jakaya July10-12 ,2015 Dodoma kwny Kukata Majina ya Wagombea Urais na hatimae kupata Chuma cha Pua toka Chatto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…