Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni BOT moja kwa moja 😂 wala hakuna kingine zaidi ya kununua Bond. Hio $2M kwa sasa ni sawa na 5.4B za madafu.Inasemekana!
Kwa Sasa unaweza ukausaka utajiri na usiufanyie jambo lolote la maana kwenye Jamii?
Matharani ukipata $2,000,000 utafanyia nini?
Naomba kuwasilisha
Niki ingia madarakani nawa tapeli bond zenu na amna kitu mtafanyaNi BOT moja kwa moja 😂 wala hakuna kingine zaidi ya kununua Bond. Hio $2M kwa sasa ni sawa na 5.4B za madafu.
Ukipeleka BOT wakakupa 15.9% ni sawa sawa na mgao wa TZS 858,600,000/= kila mwaka kwa 25 years. Hio hela kwa mwezi mwezi tu ni sawa na mtu anaelipwa million 71 kila mwezi😁.
Hapo sipigizani kelele na mtu zaidi ya Gym trainer tu.
Hamshindwi nyie😆Niki ingia madarakani nawa tapeli bond zenu na amna kitu mtafanya
Ali sikika mlevi mmoja
Kujenga GYM alikuwa anafikiria yesu tuNi BOT moja kwa moja 😂 wala hakuna kingine zaidi ya kununua Bond. Hio $2M kwa sasa ni sawa na 5.4B za madafu.