Ukipata Dola 2,000,000 utafanyia nini?

GooglTVAD

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
231
Reaction score
362
Inasemekana!

Kwa Sasa unaweza ukausaka utajiri na usiufanyie jambo lolote la maana kwenye Jamii!?

Matharani ukipata $2,000,000 utafanyia nini!?

Naomba kuwasilisha
 
Inasemekana!

Kwa Sasa unaweza ukausaka utajiri na usiufanyie jambo lolote la maana kwenye Jamii?

Matharani ukipata $2,000,000 utafanyia nini?

Naomba kuwasilisha
Ni BOT moja kwa moja 😂 wala hakuna kingine zaidi ya kununua Bond. Hio $2M kwa sasa ni sawa na 5.4B za madafu.

Ukipeleka BOT wakakupa 15.9% ni sawa sawa na mgao wa TZS 858,600,000/= kila mwaka kwa 25 years. Hio hela kwa mwezi mwezi tu ni sawa na mtu anaelipwa million 71 kila mwezi😁.

Hapo sipigizani kelele na mtu zaidi ya Gym trainer tu.
 
Niki ingia madarakani nawa tapeli bond zenu na amna kitu mtafanya


Ali sikika mlevi mmoja
 
Kujenga GYM alikuwa anafikiria yesu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…