Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Nin Kinakupelekea kumuuliza swali Kama Hili....??Nitamuuliza yeye ni nan katka ulimwengu was roho??
Baba angu MdogoVipi unaundugu na huyu mhe wetu nini?
Bila sababu ya msingi nampiga kofi halafu nakimbia nduki.Wadau
Ikitokea Fursa ya Kukutana na Mshana Jr utapenda kumweleza nini....??
Nini hasa Utamshauri...??
Kitu Gani Utamwambia....?
Samahani shushushu.Nitamuambia akipewa ban jf ya mwaka atajisikiaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bila sababu ya msingi nampiga kofi halafu nakimbia nduki.
Yap Hayo Ebu Nipe Nipe kidogoNitamkumbusha maisha yake kwenye chuo kimoja hivi.
Unauthibitisho Gani kama Father Anatumia iyo MamboNitamuuliza kwanini anaupenda uchawi na ulozi pia ntamshauri akoke na achome tungur zake