Ukipata Hela Nunua Gari Kali, Mafundi na Spea tutajua uko uko..

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Kama uchumi unaruhusu, nunua chuma kali tu.. Mengine tutajua uko uko..


Na mafuta tujitahidi kuweka kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika..


Sema issue ndogo ndogo kama kuosha tujitahidi kupeleka car wash za uhakika ili kutunza rangi..

Na tusijenge hate, acha watu wapigaie picha chuma yako nao wakavimbe
Eid Mubarak..
 
Humu JF.,bana,Kila mtu ana maisha mazuri, ni mtumishi, analipwa kuanzia 700k per month, nyumba yake Ina geti, watoto wake wanasoma shule za kulipia ana gari Kali 🀣

Dah😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…