Ukipata mdada ukamtongoza na kukuzungusha sana fanya yafutayo.

Kama kakuzungusha na mwisho hukumtia mkononi.
Je utamkomoaje sasa?
 
Wanaume wapi hao wa kukesha nguvu za chipsii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo maana Mimi nikishamzungushaga mtu sana, huwa simpi kamwe.
Vipi hapo unawashauri wanaume wa wapi lakini hao wenye nguvu ya kugonga mtu hadi aombe poo??
Cute b
Naombea "unizungushe"...[emoji115] [emoji14] [emoji14]
Sijawahi zungushwa...
 
Cute b
Naombea "unizungushe"...[emoji115] [emoji14] [emoji14]
Sijawahi zungushwa...
Una hela lakini nitakazotumia ili nikuzungushe??
Kama hauna hela hamna haja ya kuzungushwa
 
Smart911 nilimzungusha sana but the day kanitia mikononi mwake I did enjoy na mpaka sasa nainjoy sanaaaaaa hakika sijutii kuwa nae
tukiakaa kukumbushana tunacheeeeka wenyewe mpaka raha
 
Demu asipokupa papuchi after second meeting potezea...demu mzuri anatakiwa mkiona a guy siku hiyo hiyo anakupa mzigo
 
Ndiyo maana Mimi nikishamzungushaga mtu sana, huwa simpi kamwe.
Vipi hapo unawashauri wanaume wa wapi lakini hao wenye nguvu ya kugonga mtu hadi aombe poo??
Na kweli umenizungusha sana daah mpaka najihisi nina mkosi
 
Una hela lakini nitakazotumia ili nikuzungushe??
Kama hauna hela hamna haja ya kuzungushwa
Cute b hela Sio Tatizo...kwani Umejaribu Nikakwambia Sina?
Au unajua Mimi mwanafunzi nini?
Mi Napenda "Unizungushie"
Hela wewe ndo Utasema Kiasi gani unataka...[emoji115] [emoji6] [emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…