Ukipata nafasi ya kwenda Israel kwa program za kilimo

Ukipata nafasi ya kwenda Israel kwa program za kilimo

real hustler

Senior Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
143
Reaction score
204
Nisaidie kujua kitu ndugu

Ukipata nafasi ya kwenda israel kwa program za kilimo

Muda wa Program ukiisha ukaamua kubaki kama immagrant ili kukamilisha lengo fulani la pesa.
Je, ukitaka kuondoka inawezekana mda wowote au taratibu zake zikoje zakuondoka.

Na je nchi inatoa uraia baada ya kukaa nchini humo kwa miaka mingapi?

Na je kazi zipo za kukufanya uishi.

Na asilimia za kupata na kukosa immagrant visa imekaaje.

Lengo la kuuliza swali ili nisije fanya kazi kama mashine huku nikiweka mwili wangu kwa hatari ya magonjwa kama ya moyo na mgongo
 
Back
Top Bottom