Ukipata time cheki deni la trafiki hapa na parking kuepusha usumbufu usio na ulazima!

Juzi tu hapa walinishika, nikajua deni lilikuwa 30k kumbe nishapigwa na fine 30k jumla nilikuwa nadaiwa 60k, imebidi tu nilipe.
 
Asante sana mkuu,nimekuta nina deni hata la mwaka juzi na wale wana niliwapa ganja ya maji wakausheπŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…