Pre GE2025 Ukipata Ubunge kwa njia za Kishirikina au Rushwa utakuwa Wakala wa Shetani!

Pre GE2025 Ukipata Ubunge kwa njia za Kishirikina au Rushwa utakuwa Wakala wa Shetani!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Natoa tu angalizo tunapouendea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na ule Uchaguzi mkuu wa mwakani

Jiepushe kabisa kutumia Waganga wa Kienyeji, Wachawi na Rushwa kwani hao ni maajenti wa Shetani.

Pia soma: Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu

Ukitaka Uwakilishi halali wa Wananchi basi mtangulize Mungu wa mbinguni ukiwashirikisha Viongozi wa Dini

Nawatakia Dominica Njema 😄
 
Tangazo:
Niko huku Sumbawanga nauza radi. Kwa anayehitaji njoo inbox
 
Natoa tu angalizo tunapouendea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na ule Uchaguzi mkuu wa mwakani

Jiepushe kabisa kutumia Waganga wa Kienyeji, Wachawi na Rushwa kwani hao ni maajenti wa Shetani

Ukitaka Uwakilishi halali wa Wananchi basi mtangulize Mungu wa mbinguni ukiwashirikisha Viongozi wa Dini

Nawatakia Dominica Njema 😄
Mbona ndivyo ilivyo na ndo maana hakuna maendeleo
Mtu anapewa mashart magumu kiasi kwamba akili ipo kule alikosaidiwa!
Kibaya kuliko vyote,ile roho iliyomfanya ashinde ndio itawatawala wale anaowatawala
 
Back
Top Bottom