Natoa tu angalizo tunapouendea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na ule Uchaguzi mkuu wa mwakani
Jiepushe kabisa kutumia Waganga wa Kienyeji, Wachawi na Rushwa kwani hao ni maajenti wa Shetani
Ukitaka Uwakilishi halali wa Wananchi basi mtangulize Mungu wa mbinguni ukiwashirikisha Viongozi wa Dini
Nawatakia Dominica Njema ๐