and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
1. Kwenye sekta ya uokozi bado sana. Majanga hatujayapa kipaumbele zaidi ya ununuzi wa Magari ya kifahari. (MV Bukoba, Ajali ya Treni Dodoma, Tetemeko Bukoba, COVID, Ajali precision air, jengo kuanguka Kariakoo).
2. Watu wamekwama hapa hapa kariakoo siku ya pili bado hakuna aliyejiuzulu mpaka leo - uzembe uliopitiliza.
3. Punde tutashuhudia ziara za Mawaziri na VX zao na hotuba za kutosha.
4. Chawa wamenyuti wanasubiri matamasha.