Acha kimdanganya mwenzio mashtaka anandaa nani?polisi unaenda kulipoti sio kushitaki. mashahidi na mashitaka hayo ni ya mahakamani.
polisi sio sehemu ya kushitaki ni ya kulipoti na upelelezi.hili ni tatizo ni sawa na wale wanaomkamata mwizi na kumpeleka polisi alafu wanapotea bila kufungua kesi mahakamani alafu akiachiwa wanalalamika. polisi kazi yao ni kumshikilia mtuhumiwa ili asitoroke wakati haki inatafutwa.Acha kimdanganya mwenzio mashtaka anandaa nani?
iko hivi, kuna tukio ambalo nimeenda kuriport polisi na mtuhumiwa yupo ndani tayari tunasubir file liende mahakamani, ila leo siku kama ya 3 file halijafika alaf na polise anaomba aonane na hao mashahidi, ss ndio nikawa najiuliza ni sahihi police kuonana na mashahid kabla ya mahakama (au kuna mchezo tofauti)?polisi sio sehemu ya kushitaki ni ya kulipoti na upelelezi.hili ni tatizo ni sawa na wale wanaomkamata mwizi na kumpeleka polisi alafu wanapotea bila kufungua kesi mahakamani alafu akiachiwa wanalalamika. polisi kazi yao ni kumshikilia mtuhumiwa ili asitoroke wakati haki inatafutwa.
Ni sahihi maana kama ni jinai anayepeleka kesi mahakamni ni polisi (jamhuri), hivyo lazima awaone mashahidi, ila kama ni madai hiyo ni wewe ndo unapeleka mahakamani na hauna haja ya kupita polisi.iko hivi, kuna tukio ambalo nimeenda kuriport polisi na mtuhumiwa yupo ndani tayari tunasubir file liende mahakamani, ila leo siku kama ya 3 file halijafika alaf na polise anaomba aonane na hao mashahidi, ss ndio nikawa najiuliza ni sahihi police kuonana na mashahid kabla ya mahakama (au kuna mchezo tofauti)?
Wewe sio mimi kweli,yaani hili swali nilijiuliza janaHabari zenu ndugu, kwa wale wenye uzoefu pamoja na elimu ya SHERIA, naomba kuuliza
=>Unapopeleka kesi polisi kabla ya kwenda mahakamani, kuna ulazima wa polisi kuonana na mashahidi au mashahidi wanatakiwa waonekane mahakamani tu. Maana nimekuwa na wasiwasi kidogo.
Sasa je mlalamikaji na mashahidi zake wote wanakokwenda kituo cha polisi na kuchukuliwa maelezo ina shida yeyote kisheria?hili limetokea ndo maana nkauluzapolisi unaenda kulipoti sio kushitaki. mashahidi na mashitaka hayo ni ya mahakamani.
kuna ulazima wa polisi kuonana nao, kama haujapika kesi mashahidi watakuwepo tu bofya hapa Sheria kwa Kiswahili (@sheriakwakiswahili) • Instagram photos and videosHabari zenu ndugu, kwa wale wenye uzoefu pamoja na elimu ya SHERIA, naomba kuuliza
=>Unapopeleka kesi polisi kabla ya kwenda mahakamani, kuna ulazima wa polisi kuonana na mashahidi au mashahidi wanatakiwa waonekane mahakamani tu. Maana nimekuwa na wasiwasi kidogo.