Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE:
Alifika mwanaume akiwa anahema ametoka kazini kabla ya muda wa kawaida, akamwambia mke wake'," jiandae haraka tuna safiri kwenda Mbeya"
Mke akamuuliza kuna nini??
Akajibu mama amefariki..
Mke akamwambia mimi siwezi kwenda kilioni nikiwa hivi, akaenda saluni akaweka nywele vizuri na kubandika kope za macho, aliporudi akaanza kupanga nguo, akamuuliza mumewe, hivi mama yako amefariki na nini?? Mume wake akamwambia mama yangu hana kitu nimetoka kuongea nae sasa hivi...
Mke akahamaki si umeniambia kuwa kuna msiba? Akajibiwa kuwa mama yako ndio kafariki, mke akaanza kugaragaza na kupiga kelele, niwahishe haraka nyumbani nikamzike mama nisije kuta wamezika.,
Mume wake akamwambia siwezi kwenda msibani nikiwa hivi.. subiri nikanyoe ndevu...
Ndoa hizi ni shida