Ukipenda kusoma historia ya Tanganyika/Tanzania

Ukipenda kusoma historia ya Tanganyika/Tanzania

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANZANIA

Shk Mohammed Said...mimi hupenda (na nafaidika mno) na mazungumzo/maelezo ya historia ya Tanganyika..nina suali dogo tu...

Jee haya majadiliano na mahojiano yako na watu kadhaa tutayapata wapi kwa ukamilifu na mtiririko wake?

Kwenye blog yako?
Ipi?

Njia ya kujiunga ni ipi?

Nimeuliza hadharani ili wengine labda na wao watataka kujuwa...

Blog yangu na link ya YouTube:

mohamedsaidsalum.blogspot.com

Mohamed Said Salum,

Mzee wetu huoni hapa kwenye jina lako tu binafsi unapoteza historia?

Maana huna identity hapo kwa hayo majina matatu, umekuwa kama mpemba tu.
 
Mohamed Said Salum,

Mzee wetu huoni hapa kwenye jina lako tu binafsi unapoteza historia?

Maana huna identity hapo kwa hayo majina matatu, umekuwa kama mpemba tu.
Matola,
Kwani hairuhusiwi kuwa Mpemba?

Mpemba anaeleza historia ya Tanganyika.
Anamweleza Earle Seaton na Abdul Sykes 1950 wanapanga mikakati ya kuanza mazungumzo na UNO kuhusu uhuru wa Tanganyika.

Haya hukuyapenda.
Umependezewa na jina langu na Upemba.
 
Back
Top Bottom