Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Jul 2, 2022 #1 UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANZANIA Shk Mohammed Said...mimi hupenda (na nafaidika mno) na mazungumzo/maelezo ya historia ya Tanganyika..nina suali dogo tu... Jee haya majadiliano na mahojiano yako na watu kadhaa tutayapata wapi kwa ukamilifu na mtiririko wake? Kwenye blog yako? Ipi? Njia ya kujiunga ni ipi? Nimeuliza hadharani ili wengine labda na wao watataka kujuwa... Blog yangu na link ya YouTube: mohamedsaidsalum.blogspot.com
UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANZANIA Shk Mohammed Said...mimi hupenda (na nafaidika mno) na mazungumzo/maelezo ya historia ya Tanganyika..nina suali dogo tu... Jee haya majadiliano na mahojiano yako na watu kadhaa tutayapata wapi kwa ukamilifu na mtiririko wake? Kwenye blog yako? Ipi? Njia ya kujiunga ni ipi? Nimeuliza hadharani ili wengine labda na wao watataka kujuwa... Blog yangu na link ya YouTube: mohamedsaidsalum.blogspot.com
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 3, 2022 #2 Mohamed Said Salum, Mzee wetu huoni hapa kwenye jina lako tu binafsi unapoteza historia? Maana huna identity hapo kwa hayo majina matatu, umekuwa kama mpemba tu.
Mohamed Said Salum, Mzee wetu huoni hapa kwenye jina lako tu binafsi unapoteza historia? Maana huna identity hapo kwa hayo majina matatu, umekuwa kama mpemba tu.
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Jul 3, 2022 Thread starter #3 Matola said: Mohamed Said Salum, Mzee wetu huoni hapa kwenye jina lako tu binafsi unapoteza historia? Maana huna identity hapo kwa hayo majina matatu, umekuwa kama mpemba tu. Click to expand... Matola, Kwani hairuhusiwi kuwa Mpemba? Mpemba anaeleza historia ya Tanganyika. Anamweleza Earle Seaton na Abdul Sykes 1950 wanapanga mikakati ya kuanza mazungumzo na UNO kuhusu uhuru wa Tanganyika. Haya hukuyapenda. Umependezewa na jina langu na Upemba.
Matola said: Mohamed Said Salum, Mzee wetu huoni hapa kwenye jina lako tu binafsi unapoteza historia? Maana huna identity hapo kwa hayo majina matatu, umekuwa kama mpemba tu. Click to expand... Matola, Kwani hairuhusiwi kuwa Mpemba? Mpemba anaeleza historia ya Tanganyika. Anamweleza Earle Seaton na Abdul Sykes 1950 wanapanga mikakati ya kuanza mazungumzo na UNO kuhusu uhuru wa Tanganyika. Haya hukuyapenda. Umependezewa na jina langu na Upemba.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 3, 2022 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...