Ukipewa milion 65 utarudisha ngapi kwa mwaka?

M45

Ingekua rahisi kujua ni sh utampa kama ungekua mmekubaliana interest rate ila kwa vile bado tuendele

Kwa sababu wewe ndo unaifanyia biashara hiyo pesa, unaweza ukafanya makadirio unategemea kupata sh ngapi ukishafanya biz kisha :-

1. Mkiwa mnakubaliana interest rate wewe utashikilia panapokupa profit unayoitaka

2. Kama hajali kuhusu interest calculations, ukaamua kumpa pesa nzuri kama kurudisha fadhila kwa aliyekukopa
 
Ni kitu gan utafanya ili ulipe hio fedha haraka hivi

Siwezi kukuambia.

Inawezakana wewe huna jicho la kijisiriamali ndio maana unaona ngumu hela hiyo kuzalisha zaidi ya hiyo hela.
 
Nipe mill 2 nipe mwezi mmoja tu nikurudishie milion 5!! kwa maandishi pamoja na dhamana
 
Mkuu embu badae tukutane Level 8 tu discuss hii ishu.
 
Siwezi kukuambia.

Inawezakana wewe huna jicho la kijisiriamali ndio maana unaona ngumu hela hiyo kuzalisha zaidi ya hiyo hela.


Kwanini uwe mchoyo mkuu
Njoo pm nipe siri
 
Mtoa mada kuna vitu unaficha.
Funguka usaidiwe.


Pia unasema unaifanyia biashara.
Kama huna vitu unaficha jibu unalo tayari.
Tuambie biashara inaleta faida kiasi gani ili tukusaidie kugawanya ngapi umrudishie na ngapi ubakie nayo kwa ajili yakusuport biashara.
 
kwa ujumla sijajua itaingiza faida ya sh ngap
 
Kwanini uwe mchoyo mkuu
Njoo pm nipe siri

Mimi sio mchoyo mkuu.

Ninaweza nikakuambia nitafanyia biashara fulani ila wewe hutaiweza au hutaifanya vyema kama ningeifanya mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…