ukipewa nafasi ya kuwa mod.

ipatama

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
348
Reaction score
228
mi ningepewa nafasi ya kuwa mod angalau kwa dakika kumi tu, kitu cha kwanza kukifanya ni kuwapiga ban wale pro lumumba wooote wakiongozwa na barafu ya moto na MOTOCHINI.

Je wewe ukipewa nafasi ya kuwa mod ni kitu gani cha kwanza kukifanya?
 
Waandikaji wa kiswahili cha facebook wangepata Ban za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…