Ukipewa nafasi ya kuyaanza upya Maisha yako jambo gani ungelibadilisha?

Mim ningetaka tu hizi akili nilizonazo sasa, ningezipata mapema.. niishi na watu ninavyojisikia kwakua najua mengi.
 
Huu uzi haufai kuwa katika hili jukwaa.

Mhariri Moderator Active Silencer Panel Fang
 
Mtoa uzi umekopi uzi huu kutoka kwenye akaunti ya Mohammed Dewji kwenye Twitter.
 
[emoji41]
 
Nizaliwe mzungu wa Canada au Luxemburg niukane utanganyika mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nisingepoteza muda kusoma mpaka chuo. Ningesoma hata online dgree huku nikifanya michongo ya kitaa kutafta pesa
 
Nisingepoteza muda kusoma mpaka chuo. Ningesoma hata online dgree huku nikifanya michongo ya kitaa kutafta pesa
Kwahiyo unanishauri vip mtu Kama mm ninaesubiri results ya form six ili niende chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…