Ukipewa urithi wako unaweza kuwa na thamani ya shillingi ngapi?

Ukipewa urithi wako unaweza kuwa na thamani ya shillingi ngapi?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Habari Wadau,
Ni nadra sana kwa mtu kuwa bilionea, hasa akiwa na umri mdogo.
Hii ni orodha ya mabilionea vijana ambao wametajwa na Jarida la Forbes kwa mwaka 2024, kuwa matajiri wadogo zaidi duniani.

Ikiwa elezwa kuwa chanzo cha utajiri wao ni urithi kutoka kwa wazazi na familia zao. Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009, kila bilionea aliye na umri wa chini ya miaka 30 amepokea utajiri wake kama urithi.

Matajiri Wadogo Duniani Kuanzia Miaka 20 Kushuka Chini Kulingana na Forbes
images (1).jpeg

Livia Voigt
Umri: 19
Uraia: Brazil
Chanzo cha Utajiri: Mashine za Viwanda
Thamani ya Mali: Tsh. Billioni 2.898

images (2).jpeg

Clemente Del Vecchio
Umri: 19
Uraia: Italia
Chanzo cha Utajiri: Miwani za macho
Thamani ya Mali: Tsh. Trillioni 12.38


images (3).jpeg
Kim Jung-youn
Umri: 20
Uraia: Korea Kusini
Chanzo cha Utajiri: "Online Games"
Thamani ya Mali: Tsh. Trilioni 3.68
 
Kingsharon92
Umri 6...
Uraia Tanzania
Utajiri ng'ombe 80 mbuzi 120 kondoo 77
Chanzo cha utajiri kulima
 
Rockefeller ni ukoo wa matajiri tangu 19 century 😃😃😃👍👍
 
Back
Top Bottom