Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Feb 13, 2025 #1 Nmefatilia hotuba Kadhaa Kati ya Vijana Hawa wawili. Nimefuatilia machapisho na maandiko yako katika mitandao ya kijamii. Itoshe kusema, Mwenyekiti BAVICHA yuko hatua kumi mbele za Uelewa, kujiamini, kujenga hoja, yaani ni MTU anayeweza kukupa Suluhisho la Tatizo lako. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nmefatilia hotuba Kadhaa Kati ya Vijana Hawa wawili. Nimefuatilia machapisho na maandiko yako katika mitandao ya kijamii. Itoshe kusema, Mwenyekiti BAVICHA yuko hatua kumi mbele za Uelewa, kujiamini, kujenga hoja, yaani ni MTU anayeweza kukupa Suluhisho la Tatizo lako. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Feb 13, 2025 #2 kama unanamba yake ya simu....mwambie apunguze mzuka wakati anaongea na wananchi , awe mkali ndio ila asitengeneze mazingira ya kumeza Panadol baada ya kuhutubia(arilax awapo jukwani na vyombo habari)
kama unanamba yake ya simu....mwambie apunguze mzuka wakati anaongea na wananchi , awe mkali ndio ila asitengeneze mazingira ya kumeza Panadol baada ya kuhutubia(arilax awapo jukwani na vyombo habari)
K konyola JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 4,191 Reaction score 6,636 Feb 13, 2025 #3 Unafananishaje mtu mwenye ubongo na mtu mwenye uji wa kijani kichwani?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 13, 2025 #4 Kweli kabisa