Serikali inazilipia mkuu hakunaga kitu cha bure duniani hasa kitu complicated kama dawa.Mmmh kwani ARVs zinauzwa?
Mkuu baadhi ya matibabu mengi serikali inagarimia sehemu fulani vinginevyo watu wangekufa kama kuku, mfano vipimo vya CT SCAN na MRI ni bei kubwa sana mtu wa kawaida kuhimili ila sehemu kubwa serikali ndio inalipia.Kama inazilipia si ingeziuza ili ipate faida kuliko inavyogawa bure? Sijakusoma kiukweli
hakuna kirusi kinachoweza kushusha kinga ya mtu ya mwili.over
unawezekana vipi kuwa na sample ya kitu ambacho hakipo????Mkuu mimi nina sample ya HIV maabara kwetu,ninaomba nikuchome mls chache tu halafu tukufanyie follow up kwa muda ili tuthibishe madai yako
Hii itawasaidia wengi wanaodanganywa kuwa HIV inalower immunity
Naomba uniPM
Unapotosha umma, otherwise fafanua hoja yako.unawezekana vipi kuwa na sample ya kitu ambacho hakipo????
Mpaka mnaniamusha patamu hapo!!!![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Unapotosha umma, otherwise fafanua hoja yako.
hii kitu haina logic kabisa, sijui.mleta mada ndio hujui uliandika au ni hasara za kukopi na kupesti, , , any CD4 count ??? how?ARVs now for any CD4 count.
People living with HIV (PLWHIV) would from October start anti-retroviral treatment straightaway given any CD4 cell count upon testing, the government has announced.
Source: daily news.
Wednesdays, August 24, 2016
WHATS YOUR COMMENTS?
Ndio maana magonjwa yanatengenezwa kila kukichaSerikali inazilipia mkuu hakunaga kitu cha bure duniani hasa kitu complicated kama dawa.
Nifafanulie, tafadhali...UKIMWI=mindset disease