peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ninaendelea kumsikiza!
"Yaani sisi Tanzania tunapinga kodi kwa kufunga maduka, wakati wenzetu Kenya wameandamana. Ukifunga duka unamkomoa nani? Usifikiri kwamba unaikomoa serikali, sababu wataendelea kukusanya makato ya mikipo mliyochukua.
"Serikali haikomoleki, andamaneni mdai haki zenu. Mnaogopa kufa kuandamana kudai haki zenu? Kenya wamepotez vijana watano, na waandamana huku wakisema hatujaacha kuandaman, leo Alhamisi na bado wanaandamna, wakisema siyo kufikiria ule muswada bali ni mpaka Rais ajiuzulu.
"Wanasema hawawezi kuongozwa na Rais anayeruhusu raia wake wafe katika maandamano ya kudai haki zao. Sisi Tanzania tunashindwa hata kuandamana, eti tunaogopa kufa!"
Pia soma:
Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi