Ukipoteza Passport, garama yake ni laki tano

Ukipoteza Passport, garama yake ni laki tano

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

Huku ni kukomoana aka kuwakomoa wananchi wenye nia ya kuwa na Passport ya kusafiria lohhh Majangaa kweli ya nchi yetu.
 
View attachment 2720286
Huku ni kukomoana aka kuwakomoa
20230818_073244.jpg
wananchi wenye nia ya kuwa na Passport ya kusafiria lohhh Majangaa kweli ya nchi yetu.
Maweeeee na yangu katoroka nayo mchepuko wangu
 
Hii nchi kila kitu kigumu, sasa nini maana ya electronic kama mtu anatakiwa ajaze Taarifa upya ?hizo taarifa zake zinafutwa akipata passport au mi ndio sielew.
 
Back
Top Bottom