Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Aug 17, 2023 #1 Your browser is not able to display this video. Huku ni kukomoana aka kuwakomoa wananchi wenye nia ya kuwa na Passport ya kusafiria lohhh Majangaa kweli ya nchi yetu.
Your browser is not able to display this video. Huku ni kukomoana aka kuwakomoa wananchi wenye nia ya kuwa na Passport ya kusafiria lohhh Majangaa kweli ya nchi yetu.
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Aug 18, 2023 #2 Yemwe Yemweeeeeeee
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 1,426 Reaction score 2,845 Aug 18, 2023 #3 Herbalist Dr MziziMkavu said: View attachment 2720286 Huku ni kukomoana aka kuwakomoa wananchi wenye nia ya kuwa na Passport ya kusafiria lohhh Majangaa kweli ya nchi yetu. Click to expand... Maweeeee na yangu katoroka nayo mchepuko wangu
Herbalist Dr MziziMkavu said: View attachment 2720286 Huku ni kukomoana aka kuwakomoa wananchi wenye nia ya kuwa na Passport ya kusafiria lohhh Majangaa kweli ya nchi yetu. Click to expand... Maweeeee na yangu katoroka nayo mchepuko wangu
Yohimbe bark JF-Expert Member Joined Sep 1, 2019 Posts 2,160 Reaction score 5,728 Sep 22, 2023 #5 Eee ikipotea mara ya pili ni 1m.
Emen JF-Expert Member Joined Jun 22, 2021 Posts 2,069 Reaction score 3,516 Sep 22, 2023 #6 Hii nchi kila kitu kigumu, sasa nini maana ya electronic kama mtu anatakiwa ajaze Taarifa upya ?hizo taarifa zake zinafutwa akipata passport au mi ndio sielew.
Hii nchi kila kitu kigumu, sasa nini maana ya electronic kama mtu anatakiwa ajaze Taarifa upya ?hizo taarifa zake zinafutwa akipata passport au mi ndio sielew.