Mzanzibari Huru
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 373
- 225
Ndugu wasomaji,
Ukiristo ni dini ya Ulaya, (Mungu Muumba hana uhusiano wowote na Ukiristo) inawafanya wafuasi wake hususani wale wafuasi wenye madaraka katika dini hiyo wawe na tabia zile zile za wazungu. Unafiki na roho mabaya na ubinafsi.
Tukiangalia mapesa yanayochukuliwa na makanisa kwa ajili ya kuwafanya maboss wachache wastarehe kwa kutumia majasho na migongo ya wengi, huku watanzania walala hoi maji ya bomba hawana hata Dar es Salaam, tukiangalia sadaka za makanisani, masikini kulipa sadaka kanisa, kanisa ambalo lapewa mabilioni na serikali bila sababu yoyote zaidi ya ubinafsi na unafiki tu. Hawa ndio walioirejesha Tanzania, East Afrika na Afrika nyuma kwa ujumla nyuma.
Akija mzungu muanzishaji wa dini ya kikiristo anachimbuwa dhahabu atakavyo na hata bungeni hasemwi, akija Mwarabu kuwanufaisha watanzania wote inakuwa zogo kutoka kwa hawa wanafiki na walafi.
Tuache tabia mbaya.