Ukisafiri kula hivi

Kwa safari ndefu huwa nakula crips za viazi au mihogo.
 
Bia zako za kopo pembeni na nyama ya kukaangwa
 
Kuepuka usumbufu wa kwenda kujisaidia unaposafiri pata huu mlo...!

Mayai mawili tu ya kuchemsha na malta moja

Mlo huu utakusaidia pia kama bajeti inabana kwakuwa hutaumwa njaa wala hutasikia kiu kwa zaidi ya masaa kumi
nikweli mayai mawili ya kuchemsha,karanga za kukangaa pakti mbili,mwindi wa kuchoma mmoja,na chungwa moja kisha maji ya kunywa hakika safari itakuwa nzuri
 
Malizia uhondo huo acha roho mbaya mkuu CYBERTEQ
 
Hapo ni bia zangu 3 za kopo na mbuz aliyekaushwa vizur na maji chupa mbili kubwa.
 
Hapo ni bia zangu 3 za kopo na mbuz aliyekaushwa vizur na maji chupa mbili kubwa.

Hii itakula kwako hasa kama konda na abiria wakiwa jeuri na wana haraka zao
 
Kuepuka usumbufu wa kwenda kujisaidia unaposafiri pata huu mlo...!

Mayai mawili tu ya kuchemsha na malta moja

Mlo huu utakusaidia pia kama bajeti inabana kwakuwa hutaumwa njaa wala hutasikia kiu kwa zaidi ya masaa kumi

aisee mi nikila mayai ya kuchemsha safarini ndo natibua tumbo kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…