Kama kutafuna we tafuna ila usijulikane , jamaa yetu mmoja alikuwa anamtafuna mke wa mjeda aliyekuwa mission aisee jamaa alipoludi ilikuwa kivumbi na jasho .
Jamaa aliama maana walikuwa wanapiga Doria miezi zaidi ya mitatu tena saa Tisa usiku jamaa ilibidi akimbilie Uganda na kuacha familia yake alikuwa kuludi baada ya miaka mitatu kupita na aliludi nyuma kimaendeleo sana
Huko Kenya kuna mwanajeshi alimfumania mke wake akiliwa na mtu, ni kipigo kitakatifu mpaka jamaa kavuta kamba, mwanajeshi kashikiliwa. Naona hata hakimu atampunguzia adhabu, ni ndani ya nyumba yake.