Ukisafiri utakuta mke wako ametembea na watu wengine

Wazee wetu ndio maana waliamua kuoa wake wengi.
Unakula huku ukijua ulikoacha kunaliwa.
Kikubwa heshima na kitanda hakizai haramu.
Kujifanya wewe muaminifu wa mke mmoja utakufa kabla ya wakati
 
Dakika 10 ni nyingi Sana KWA mwanamke malaya wala haitaji mme wake asafiri.
 
Umeeleweka mkuu
 
Doh

Kwahiyo mimi ndo mtoto na nyie wa akili hizi ndo wakubwa

Mungu akurehemu tu mdogo wangu
Amen.

Huwezi andika eti niaminini mimi kama uko mbali na mkeo lazima unachapiwa. Unadhani wanawake wote ni mabox? Ukioa kahaba utavuna ukahaba, unadhani hayo mambo yanaanza ghafla tu? Asante kwa stori, nadhani uko Chalinze.
 
Ukweli ni kwamba uvumilivu wa mwanamke ni mdogo sana kulinganisha na mwanaume. Ila kula mke wa mtu sio vizuri kabisa, wanawake wako wengi sana kwanini ujihatarishe namna hiyo.
Ni vyema unapotambua jimama unalofukuzia limeolewa temana nalo.

Ni hatar na nihuzun sana mkuu
 
Wazee wetu ndio maana waliamua kuoa wake wengi.
Unakula huku ukijua ulikoacha kunaliwa.
Kikubwa heshima na kitanda hakizai haramu.
Kujifanya wewe muaminifu wa mke mmoja utakufa kabla ya wakati

Nikweli mkuu uko sahihi
 
Amen.

Huwezi andika eti niaminini mimi kama uko mbali na mkeo lazima unachapiwa. Unadhani wanawake wote ni mabox? Ukioa kahaba utavuna ukahaba, unadhani hayo mambo yanaanza ghafla tu? Asante kwa stori, nadhani uko Chalinze.
Sijui kwann unazidi kuni quote kwa kunihusisha na mtoa uzi. Sijui kabisa yaani.
 
Last line💯❣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…