Ukisahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifahamu?

galstone96

New Member
Joined
Jun 11, 2023
Posts
2
Reaction score
2
Habari zenu waungwana, nina swali moja,
Hivi kwa mfano umesahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifaham hio namba na kupata kuyaona matokeo yako?
 
Huyu anataka kujua matokeo ya mtu hovyo hana namba yake, ingia kwenye website ya Selform.tamisemi.go.tz angalia shule za kidato cha tano walizopqngiwa watu waliosoma hiyo shule ukishapata hata mmoja copy namba yake nenda kapaste pale kwenye kusearch kwa kutumia namba, halafu kuwa unaongeza namba moja au unapunguza maana zinaenda alphabetically. Mfano S1816.0049.2022 hapo kwenye 0049 ukiongeza au kupunguza itakuletea majina na picha ya watainiwa wote. Ukishapata namba yake sasa unaweza kurudi kwenye mkeka na kucheki matokeo direct.
 
Mhhh ni miaka ishirini na zaid imepita tangu nimemaliza form four, lakini number yangu ya form 4 na form six zote nazikumbuka. We mwenzetu vip?
 
Huyu anataka kujua matokeo ya mtu hovyo hana namba yake, ingia kwenye website ya Selform.tamisemi.go.tz angalia shule za kidato cha tano walizopqngiwa watu waliosoma hiyo shule ukishapata hata mmoja copy namba yake nenda kapaste pale kwenye kusearch kwa kutumia namba, halafu kuwa unaongeza namba moja au unapunguza maana zinaenda alphabetically. Mfano S1816.0049.2022 hapo kwenye 0049 ukiongeza au kupunguza itakuletea majina na picha ya watainiwa wote. Ukishapata namba yake sasa unaweza kurudi kwenye mkeka na kucheki matokeo direct.
vipi kama hakuchaguliwa kuendelea na form 5
 
Habari zenu waungwana, nina swali moja,
Hivi kwa mfano umesahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifaham hio namba na kupata kuyaona matokeo yako?
Nimewahi kukutana na vilaza. Ila wewe umepitiliza.

Unawezaje kusahau namba yako ya mtihani?

Umeshindwa kumwuliza hata mtaaluma shuleni kwako?

Ina maana hata result slip wala cheti huna?

Hukuwahi kupata matokeo yako hata maramoja?
 
Habari zenu waungwana, nina swali moja,
Hivi kwa mfano umesahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifaham hio namba na kupata kuyaona matokeo yako?
Unaingia kama unaangalia matokeo ya shule yako, kisha kopy namba za mitihani zote za shule husika, ingia ktk mfumo wa udahili wa elimu ya chuo kikuu,anza kujisajili, ingiza 4m4 index no itakuletea jina na matokeo yako, usiendelee ishia hapo rudi nyuma ingiza 4m4 index number nyingine mpata upate ya kwako.
 
Ila kuna watu vilaza dunia hii, basi tu!
 
Mkumbuke uliekuwa umekaa nae karibu mkuu atakusanua namba yako
 
Back
Top Bottom