galstone96
New Member
- Jun 11, 2023
- 2
- 2
Namba ya 4m4 unasahau hata mwaka haujaisha ila kubeti na mapenzi husahau tangu 4m1.Habari zenu waungwana, nina swali moja,
Hivi kwa mfano umesahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifaham hio namba na kupata kuyaona matokeo yako?
Wasiliana na shule uliyimaliza watakupatia nambaHabari zenu waungwana, nina swali moja,
Hivi kwa mfano umesahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifaham hio namba na kupata kuyaona matokeo yako?
vipi kama hakuchaguliwa kuendelea na form 5Huyu anataka kujua matokeo ya mtu hovyo hana namba yake, ingia kwenye website ya Selform.tamisemi.go.tz angalia shule za kidato cha tano walizopqngiwa watu waliosoma hiyo shule ukishapata hata mmoja copy namba yake nenda kapaste pale kwenye kusearch kwa kutumia namba, halafu kuwa unaongeza namba moja au unapunguza maana zinaenda alphabetically. Mfano S1816.0049.2022 hapo kwenye 0049 ukiongeza au kupunguza itakuletea majina na picha ya watainiwa wote. Ukishapata namba yake sasa unaweza kurudi kwenye mkeka na kucheki matokeo direct.
Itakuletea taarifa zake lakini selection itaandika not selectedvipi kama hakuchaguliwa kuendelea na form 5
Nimewahi kukutana na vilaza. Ila wewe umepitiliza.Habari zenu waungwana, nina swali moja,
Hivi kwa mfano umesahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifaham hio namba na kupata kuyaona matokeo yako?
Unaingia kama unaangalia matokeo ya shule yako, kisha kopy namba za mitihani zote za shule husika, ingia ktk mfumo wa udahili wa elimu ya chuo kikuu,anza kujisajili, ingiza 4m4 index no itakuletea jina na matokeo yako, usiendelee ishia hapo rudi nyuma ingiza 4m4 index number nyingine mpata upate ya kwako.Habari zenu waungwana, nina swali moja,
Hivi kwa mfano umesahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifaham hio namba na kupata kuyaona matokeo yako?
🤣🤣Bora tumeuzwa milele kwa dipi weldi maana kizazi cha baadae cha kukomboa ndio hiki...