Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Scrub na huduma nyingine zinalipiwa broo. Ukikataa kufanyiwa maanaake umewabania kipato wale mabinti wenye kazi hiyoSijui kwanini wanapata makasiriko pale mteja napo kataa kufanya huduma nyingine za ziada.
Sasa kama mtu hataki ndy wafanye visaScrub na huduma nyingine zinalipiwa broo. Ukikataa kufanyiwa maanaake umewabania kipato wale mabinti wenye kazi hiyo
NdiyoSasa upara nao ni wa kwenda kunyoa saloon?
Wanafosi wakati wengine hatufagilii milupoTena kama ni mdada anakuhudumia atataka ufanye scrub umuombe na namba, bila hivyo anakuona umemdharau sana
Na ukitoka hutamani tena kurudi saloon hiyoSaloon ambazo wanaofanya scrub ni wasichana usipotongoza utasuguliwa kama mbao na msasa
Mwisho wake ulikuajeKwenye bango la salon waliandika bei za kawaida na VIP. Sikufikiria tofauti yake, wakati naenda vyumba vya warembo nikawaambia VIP. Heee kumbe kule akawa ananifanyia scrub huku kavaa kamtandio.
Alafu kichwa chako anakilaza kifuani mwake..... DuhKwenye bango la salon waliandika bei za kawaida na VIP. Sikufikiria tofauti yake, wakati naenda vyumba vya warembo nikawaambia VIP. Heee kumbe kule akawa ananifanyia scrub huku kavaa kamtandio.
Sijamgusa mimi, nilikataa tu kupakwa yale mafuta yenye vijiwe jiweUligusa maslahi ya watu hapo ndio maana ukafanyiwa hivyo
Sasa uliwanyima uwanja wa kukushawishi ili wakukamue maokoto.Sijamgusa mimi, nilikataa tu kupakwa yale mafuta yenye vijiwe jiwe
Kweli ukijichanganya unaacha hela nyingi, kwa hilo walinikosaSasa uliwanyima uwanja wa kukushawishi ili wakukamue maokoto.
Ukikubali hizo huduma zao wanazotaka lazima ushawishiwe mwishowe uachie hela nyingi bila kutarajia