Ukishabikia Simba umebarikiwa

Joined
Jun 2, 2019
Posts
25
Reaction score
21
Kushabikia #utopolo ni dhambi na wanaoshabikia lunyasi wazee wa Tanzania na Africa na wana julikana kote duniani kwamba muwakilishi wa Tanzania inajulikana simba pekee na hakuna kidume zaidi yao ukishabikia simba umebarikiwa hauna dhambi na tuna mzungu saivi hatari

#mashakasaidibeneumboyo
 
Hizi ngebe Mayele atatujibia badala yetu.

Mwezi wa 5 mwakani msije mkabaki na matola pekee yake.
 
Mayele huyoo..!!
 
Hizi ngebe Mayele atatujibia badala yetu.

Mwezi wa 5 mwakani msije mkabaki na matola pekee yake.

Nae anafika mwisho, akifunga na Simba inafunga, haitaki mchezo safari hii.
 
Sisi tunajua kuwa wanayanga wote ni wajinga ispokuwa Sunday Manara na Mzee JK. Ndiyo maana mnaongoza kwa nyuzi za kipumbavu humu.
 
Kweli wanasimba hawana akili kabisa hawajitambui mashabiki na viongozi wote ni oya oya tu , kila mechi na Yanga wanapasuka ila wamo tu! hata hawaoni kuwa promo ni kubwa kuliko uwezo wa timu! timu ya mchongo inabebwa na Marefa tu!

Yanga iko moto sana kwasasa nyie Makolo FC endeleeni kufumba macho na kuziba masikio na kujitutumua ila sie utopolo tunaendelea kutetema tu na msimu huu target yetu ni kubeba kombe la CAF sio kuishia Robo fainali kama Kolo FC kelele kibao ooh sisi wa kimataifa hata rangi ya kombe la CAF hamuijui
 
Sisi tunajua kuwa wanayanga wote ni wajinga ispokuwa Sunday Manara na Mzee JK. Ndiyo maana mnaongoza kwa nyuzi za kipumbavu humu.
Kwa hiyo nyinyi ni Misukule ya Haji Manara! Maana kila ujinga anao kuja nao, nyinyi mnaugeuza kuwa wimbo! Aisee poleni sana.

Bila shaka ni yeye pia aliye wafundisha kutukana hovyo humu jukwaani.
 
SIMBA WA YUDA au SIMBA S.C?
Kama unazungumzia SIMBA WA YUDA nitakubaliana na wewe kwa asilimia zisizo hesabika.
Kama unazungumzia SIMBA S.C, hayo ni maisha ya Up and Down?, Kuna wakati tunakuwa tunafuraha na Kuna wakati furaha inakata kabisa.( Mfano: kufungwa na J. Galaxy), ni jambo linalonisikitisha hadi leo. Lakini not bad tulipata shirikisho na tukafanya vizuri na humohumo kwenye shirikisho wengine wamepata kiatu cha ufungaji bora.
 
Kwa hiyo nyinyi ni Misukule ya Haji Manara! Maana kila ujinga anao kuja nao, nyinyi mnaugeuza kuwa wimbo! Aisee poleni sana.

Bila shaka ni yeye pia aliye wafundisha kutukana hovyo humu jukwaani.
Nyie ndiyo wajinga baada ya kuwatukana bado mnamkubali hadi mlitishia kuandamana kwenda Ikulu kumuona Rais ili zeruzeru afunguliwe. Jipigeni kifuani mkipaza sauti mkisema :Sisi ni hamnazo'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…