Ukishaolewa sahau habari ya busu!

Yako mengi tu ambayo wanandoa wakiooana hawafanyiani tena, wanazoeana ila wakipata wa kuwafanyia nje ndio inakuwa mwanzo wa usaliti wa ndoa. Hata shoo wanapigana kizembe tofauti na mwanzo
 
Nikiona watu mnalalamika namnahii, hua nasema Kumbe ndoa yangu ina raha sana aiseee....πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…